14 opiniones en “Staa wa Sevilla FC amekiri hadharani kuhusu Bocco, Niyonzima na Kagere”

 1. Mashabiki wa Yanga watakuwa na akili timamu mpaka Zahara atakapoondoka kwenye Timu yao. Wanaumwa kwakweli. Clabu bingwa hawamo,Shirikisho hawamo,sasa ili kujipoza wanatafuta matukio ya Simba ili wapate KOKO sio KIKI tena.

 2. Hahahahaha wanaqaaanifu..Timu inaongoza bao 4 zinarudishwa Zote na la ushimdi..Mnakumbuka ndani ya dakika tano mligingqa bao tatu? Kama kweli wana2asigia wana wafariji tu

 3. Huyu Dogo kweli kiumri ni mdogo lakini mbona kuzungumza konk. Simba tujipange Kwakweli, kumfunga Sevilla magoli yote yale c kaz ndogo jamani

 4. Hongera club yetu ya simba kwa hatua ilipo fikia hiyo ni record kubwa siyo ndogo kutoka 5-4 dhidi ya sevila big up simba hadi hao wenyewe wenye sevila yao wamekubali ujue ujue siyo jambo dogo.this is simbaaa

 5. *JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE & INSTAGRAM*👇👇
  https://youtu.be/mUzosAgdgb0
  *JIFUNZE SEHEM YA KUIFAZ PICHA HATA SIM YAKO IKIPOTEA ZINARUDISHWA KW SIM NYINGINE*👇👇
  https://youtu.be/i7D4ktj0oOo
  *JINSI YA KUDOWNLOAD PC & VIDEO WAXAP*👇
  https://youtu.be/AfLQqbv2RN8
  *JINSI YA KUPOST VIDEO STUTUS YENYE DAKIKA ZAID YA 5*👇
  https://youtu.be/dUTc2VGEATI
  *JINSI YA KUPUNGUZA VIDEO YENYE MB NYING KUWA NA MB CHACHE*👇
  https://youtu.be/MUX6LutTXbQ

Comentarios cerrados.